Upinzani Kenya wataka mgombea wao Raila Odinga atangazwe kuwa Rais. Rais Donald Trump aionya Korea Kaskazini na kiongozi wake dhidi ya kufanya mashambulizi dhidi ya Marekani na washirika wake. Watu wapatao 27 wauwawa katika mapigano mjini Kinshasa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.