Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini yaamua kumuondoa madarakani Rais Park Guen Hye//Watu saba wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanyika katika kituo cha treni nchini Ujerumani//Rais wa Nigeria Muhamadu Buhari kurejea nyumbani leo kutoka Uingereza alikokuwa anatibiwa