Rais wa Marekani Donald Trump ataka mabomu mapya ya atomiki ili kupambana na Urusi. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema tofauti bado zipo kati ya vyama vinayotaka kuunda serikali ya mseto Ujerumani.Rais wa Ufaransa asema elimu ni muhimu katika vita dhidi ya ugaidi.