Nchi za Ulaya zazindua mfumo maalum wa malipo ili kuweza kufanya biashara na Iran//Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Juan Guaido aliyejitangaza Rais avionya vikosi vya usalama dhidi ya kuidhuru familia yake//Rais wa Marekani Donald Trump kukutana na Rais wa China Xi Jinping kutia saini makubaliano ya kibiashara.