Rais wa Marekani Joe Biden kuunga mkono juhudi za kuipatia Ukraine ndege za kisasa za kivita.
++++++++++++++++++
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum na mji dada wa Bahri yatikiswa tena na mashambulizi ya angani.
+++++++++++++++++++
Na Mazungumzo ya ukomo wa deni la Marekani yakwama kwa mara nyingine.