Watu nane wameuawa na vikosi vya usalama nchini Sudan katika maandamano mapya.Vikosi vya Urusi vimejiondoa katika kisiwa cha kimkakati kwenye bahari nyeusi. Rais wa Uturuki amezieleza Sweden na Finland kwamba bado anaweza kuzuia dhumuni la nchi hizo kujiunga na Jumuiya ya kujihami NATO.