1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 31.01.2022

V2 / S12S31 Januari 2022

Ukraine imeitaka Urusi kuwaondoa wanajeshi kutoka kwenye mpaka wake na kuendelea na mazungumzo. Korea Kaskazini yathibitisha kufanya jaribio la kombora la kuelekea baharini. Na raia mmoja ameuwawa katika maandamano ya Jumapili nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/46IQS