Rais Joe Biden wa Marekani aituhumu Urusi kwa kuvunja sheria ya kimataifa kwa kuivamia Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema wafungwa 215 raia wa Ukraine na wa kigeni wameachiwa huru na Urusi. Na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na familia washtakiwa kwa ulaghai.