1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 20.09.2022

Josephat Charo
20 Septemba 2022

Ukraine yatahadhirisha juu ya ugaidi wa nyuklia kufuatia shambulizi la Urusi. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken ahimiza amani kati ya Armenia na Azerbaijan. Na Marekani na Afghanistan zabadilishana wafungwa.

https://p.dw.com/p/4H5I0