Israel yatanagaza kuruhusu uingizwaji misaada ya kiutu mjini Gaza kupitia Misri. Marekani yapinga azimio la Umoja wa Mataifa kulaani ghasia dhidi ya raia huko Gaza. Na Rais wa Urusi Vladimir Putin asema migogoro inayoendelea ulimwenguni imezidi kuimarisha mahusiano yake na China.