Shirika la afya duniani lautangaza ugonjwa wa Ebola kuwa dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi Jumuiya ya kimataifa, Boris Johnson asema Umoja wa ulaya utabeba lawama iwapo nchi yake itajitoa kwenye umoja huo bila makubaliano, Iran yaituhumu Marekani kwa "Ugaidi wa kiuchumi"