Uingereza huenda ikakabiliwa na utata katika usambazaji chakula, huduma za fedha na machafuko ya umma iwapo itajiondoa katika Umoja wa Ulaya bila ya mkataba, rais wa Urusi Vladmir Putin atarajiwa kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu mjini Sochi na bajeti ya wizara ya ulinzi ya Ujerumani yatarajiwa kuongezeka kwa takriban Euro bilioni 2 .