Rais wa zamani wa Ukraine Leonid Kravchuk aaga dunia. Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kujadili amri ya Taliban kutaka wanawake wa Afghanistan wafunike nyuso zao hadharani. Na Somalia yawasajili wagombea 39 wa urais katika uchaguzi wa Jumapili ijayo.