Tuliyo nayo : Hotuba ya mwisho ya Rais Barack Obama iliyojaa hisia kali . Vyama tawala katika serikali ya Ujerumani vinakusudia kuanzisha hatua kali dhidi ya magaidi wa Kiislamu. Na mshambuliaji aliyewaua waumini tisa kanisani mnamo mwaka 2015 nchini Marekani amehukumiwa adhabu ya kifo.