Pande zinazohasimiana nchini Sudan zakubaliana kusitisha mapigano kwa siku saba. Mapigano yasitishwa kati ya Israel na makundi yenye silaha ya Palestina katika ukanda wa Gaza. Na treni ya pili ya mizigo ya Urusi yashambuliwa na kuacha reli katika eneo linalopakana na Ukraine.