1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 03.02.2022

Sylvia Mwehozi
3 Februari 2022

Marekani yaidhinisha upelekaji wa wanajeshi wa ziada katika eneo la Ulaya mashariki. Hali ya utulivu imetajwa kurejea katika mji mkuu wa Guinea-Bissau baada ya jaribio la mapinduzi. Umoja wa Falme za Kiarabu wadai kuzuia shambulio jingine la ndege.

https://p.dw.com/p/46RLS