Vikosi vya Afghanistan vyawashambulia wapiganaji wa Taliban kuwazuia kuivamia miji mikubwa nchini humo. Iran yakanusha madai ya kuhusika na shambulizi dhidi ya meli ya kibiashara yenye mafungamano na Israel katika ghuba ya Oman. Na rais wa Zambia Edgar Lungu alituma jeshi kudhibiti machafuko kabla uchaguzi ulioapngwa kufanyika baadaye mwezi huu.