Tuliyo nayo: Watu 13 wameuawa kutokana na mlipuko wa gesi uliotokea ndani ya mgodi wa makaa ya mawe magharibi mwa China. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Thomas de Maiziere amekiri kwamba panahitajika jitihada za ziada katika kuzuia matukio mingine ya udhalilishaji wa kingono na Gavana wa benki kuu ya Uingereza Mark Carney ametangaza kusalia kwa mwaka mmoja zaidi.