1 Desemba 2022
Matangazo
-Ukraine inasema Urusi imezidisha mashambulizi mapya mashariki mwa nchi, NATO yaahidi kusaidia.
-Rais wa Rwanda Paul Kagame amtuhumu Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutumia mzozo kama kisingizio cha kuchelewesha uchaguzi
-Kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS lasema kiongozi wake ameuawa katika mapigano