30 Novemba 2022
Matangazo
-Senegal imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kufuzu kwa duru ya mtoano ya michezo ya kombe la dunia inayoendelea Qatar
-Mawaziri wa mambo ya nje wa NATO wanakutana mjini Bucharest kujadili msaada zaidi kwa Ukraine
-Ripoti ya shirika la haki za binadamu inasema watu 488 wameuawa nchini Iran katika ukandamizaji dhidi ya waandamanaji