6 Januari 2021
Matangazo
-Ujerumani imerefusha hatua kali za kuzuia kusambaa virusi vya corona hadi Januari 31.
-Kura zinaendelea kuhesabiwa katika uchaguzi wa marudio wa seneti jimboni Georgia, Marekani, wagombea wakionekana kukaribiana.
-Wagombea wa upinzani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wataka matokeo ya uchaguzi wa Desemba 27 yafutwe.