17 Septemba 2020
Matangazo
-Mkuu wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa amesema atakabidhi madaraka ifikapo mwishoni mwa Oktoba.
-Mamia ya watu wamelazimika kuokolewa baada ya kimbunga Sally kutua kwa kishindo katika majimbo ya Alabama na Florida huko Marekani.
-Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema muswada wake uliozua utata kuhusu soko la ndani umefanyiwa marekebisho.