28 Mei 2020
Matangazo
Marekani imetangaza hatua ya kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran, kuilazimisha kukubali mpango mgumu zaidi kuhusu mradi wake wa nyuklia.
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel awataka Wajerumani kuendelea kuheshimu hatua za tahadhari ili kujilinda na maambukizi ya virusi vya corona.
Korti ya Ufaransa yakataa ombi la mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, kutaka aachiwe kwa dhamana.