1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
6 Februari 2020

https://p.dw.com/p/3XKl8

-Baraza la Seneti Marekani lamuondolea mashtaka Rais Donald Trump

-Ndege yaanguka na kukatika vipande vitatu uwanja wa ndege wa Istanbul, watu watatu wafariki

-Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aanza ziara Afrika Kusini na Angola