15 Mei 2019
Matangazo
-Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amefanya mazungumzo na viongozi wa Urusi, na kusema nchi yake haitafuti vita na Iran.
-Baraza la kijeshi na waandamanaji wa Sudan wakubaliana kuunda utawala wa mpito wa miaka mitatu.
-Mtandao wa kijamii wa Whatsapp watoa tahadhari baada ya kuingiliwa na wadukuzi.