31 Desemba 2018
Matangazo
Sheikh Hasina ametangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini Bangladesh.
Zoezi la upigaji kura lilimalizika jana katika uchaguzi wa kihistoria katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, uliokumbwa na ucheleweshaji katika vituo vingi.
Katika hotuba yake ya mwaka mpya, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, awataka raia wake kuwa na imani katika nchi yao.