30 Novemba 2018
Matangazo
Aliyekuwa mwanasheria binafsi wa Rais Donald Trump wa Marekani amekiri mahakamani, kwamba alilidanganya bunge.
Ndege ya Kansela wa Ujerumani Angela Merkel yaahirisha safari baada ya kupatwa na hitilafu za kiufundi angani.
Uvumi na wasiwasi kuhusu afya ya Rais wa Gabon Ali Bongo waendelea, wakati akiripotiwa kupelekwa Morocco kwa matibabu zaidi.