12 Novemba 2018
Matangazo
Kansela Angela Merkel na Rais Emmanuel Macron wahimiza ushirikiano wa kimataifa kama suluhisho pekee kwa mizozo na vita duniani, Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamteuwa Martin Fayulu kuwa mgombea wake wa pamoja katika uchaguzi wa Desemba 23, Wanamgambo 6 wa Hamas na mwanajeshi 1 wa Israel wauawa katika mapigano kwenye Ukanda wa Gaza.