Vyama vitatu vinavyounda serikali ya Ujerumani vimepata makubaliano kuhusu sera ya waomba hifadhi.
Urusi imezuia makubaliano katika Baraza la Usalama kuhusu hali ilivyo Kusini Magharibi mwa Syria.
Mnada wa kuwania kulala katika chumba cha jela cha Nelson Mandela wakosolewa.