22 Novemba 2017
Matangazo
Wazimbabwe washerehekea usiku kucha baada ya kujiuzulu kwa Rais Robert Mugabe, Rais wa Shirikisho la Ujerumani afanya juhudi za kufufua mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto ambayo yamevunjika. Waziri Mkuu wa zamani wa Lebanon Saad al-Hariri arejea nchini mwake, wiki mbili baada ya kujiuzulu akiwa nchini Saudi Arabia.