1 Juni 2017
Matangazo
Idadi ya waliokufa katika shambulizi la bomu mjini Kabul-Afghanistan yafika watu 90, EU na China kutoa tangazo la mshikamano kuhusu Mkataba wa Paris, wakati Marekani ikitarajiwa kujitoa katika mkataba huo leo, na Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May adhihakiwa kwa kususia mdahalo wa Televisheni.