1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
21 Aprili 2017

Polisi wa Ufaransa washambuliwa mjini Paris, mmoja wao auawa, Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad amekazwa kugombea tena urais wa nchi yake, wanaume 53 wamekamatwa nchini Nigeria katika sherehe ya ndoa za mashoga.

https://p.dw.com/p/2behW