11 Juni 2018
Matangazo
Rais wa Marekani Donald Trump anakutana leo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un nchini Singapore.
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amemkosoa vikali Rais Trump kwa kujitenga na tangazo la pamoja la viongozi wa kundi la G7.
Meli inayowabeba wahamiaji zaidi ya 600 imekwama katika Bahari ya Mediterania, baada ya kukataliwa na Italia pamoja na Malta.