8 Januari 2018
Matangazo
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameelezea matumaini ya kufanikiwa kuunda serikali ya mseto na chama cha SPD, Jeshi la serikali ya Syria limeikomboa njia muhimu kati ya miji miwili mikubwa zaidi nchini humo, Damascus na Aleppo, Nchi za Kiarabu zataka Jerusalem Mashariki itambuliwe kimataifa kama mji mkuu wa Taifa la Wapalestina.