Jaji wa mahakama ya Marekani ameamuru kuwekwa katika kifungo cha nyumbani waliokuwa wasaidizi wa kampeni wa Rais Donald Trump // Maandamano ya baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya, baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi wa uchaguzi mpya wa urais uliofanyika Oktoba 26 // Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya Wasyria milioni 13 wanahitaji msaada ili kuyaokoa maisha yao.