Rais wa Marekani Joe Biden amesema hatopeleka ndege za kivita Ukraine ili kuisaidia nchi hiyo katika vita dhidi ya Urusi//Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis leo anaanza ziara yake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo//Umoja wa Mataifa umeonya kuwa hatua ya Taliban kuwapiga marufuku wafanyakazi wa kike wa mashirika ya misaada Afghanistan, ni pigo kubwa kwa mipango muhimu ya kiutu