Polisi wa Catalonia wamesema kiasi ya watu 300,000 walishiriki katika maandamano yaliyofanyika Barcelona katika kuunga mkono umoja wa kitaifa//Afisa wa ngazi ya juu wa usalama Kenya amemshutumu kiongozi wa upinzani, Raila Odinga kwa kuchochea ghasia na kuwashambulia polisi//Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amesisitiza umuhimu wa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un.