Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema ana uhakika nchi yake inaweza kuishinda Urusi mwaka huu // Watu 15 wameuawa katika mashambulizi kadhaa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo // Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema nchi yake inaweza kuidhinisha ombi la Finland kujiunga na Jumuia ya Kujihami ya NATO, kabla ya kuamua kuhusu ombi la Sweden