Mapigano yamezuka kwenye baadhi ya maeneo ya Sudan Jumapili, wakati ambapo vita hivyo vimeingia siku yake ya 100 // Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, ameapa kulipiza kisasi baada ya makombora ya Urusi kuushambulia kwa mara nyingine tena mji wa bandari wa Odessa // Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amesema ushirikiano mkubwa unahitajika katika kukabiliana na wahamiaji wanaoingia Ulaya