1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 24.04.2018

24 Aprili 2018

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aendelea na ziara yake ya nchini Marekani. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asisitiza umuhimu wa biashara huru duniani. Watu kumi wamekufa baada ya kugongwa na Lori nchini Kanada.

https://p.dw.com/p/2wXfD