Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA Gina Haspel ameelekea Uturuki kusaidia kuchunguza mauaji ya Jamal Khashoggi//Ujerumani imesema itatafuta msaada wa Jumuia ya Kujihami ya NATO ili kuulinda mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani//Umoja Mataifa umesema mzozo wa Yemen umewaacha watu milioni 8.4 wakitegemea msaada wa dharura wa chakula