Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe leo anatarajiwa kukutana na jeshi la nchi hiyo kujadiliana kuhusu hatma yake // Mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya muungano nchini Ujerumani yanaanza tena leo baada kushindwa kufikia makubaliano hapo jana // Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu, Saad Hariri amesema atarejea Lebanon katika siku zijazo.