Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu // Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi umekamilika rasmi usiku wa jana mjini Bonn, Ujerumani // Urusi imepiga tena kura ya turufu kuzuia azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.