Utafiti wa maoni ya wapiga kura Ujerumani umechapishwa wiki moja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu//Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel atoa wito wa kushirikiana kidiplomasia na Korea Kaskazini kukomesha mpango wake wa nyuklia//Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga atangaza kuwa muungano wake wa NASA utaendesha kampeni kushinikiza mageuzi katika tume ya uchaguzi.