Ukraine na Urusi zimeshindwa kupata muafaka kuhusu kusaini hati ya pamoja, lakini zimekubaliana kuendelea kuzungumza//Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kumuunga mkono mkuu wa serikali ya mpito ya Libya, Abdulhamid al-Dbeibah//Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani, Australia, Japan na India wameanza mkutano wao unaoangazia kuufifisha uwezo wa China unaotanuka katika eneo la India na Pasifiki