1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 09.07.2020

9 Julai 2020

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kuonesha mshikamano ili kuidhinisha mpango wa kuuokoa uchumi wa Ulaya ulioathiriwa na janga la virusi vya corona//Waziri Mkuu wa Cote d'Ivoire, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia baada ya kuugua ghafla//Umoja wa Mataifa umesema uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa Libya umefika katika kiwango kisicho cha kawaida

https://p.dw.com/p/3f0Jz