Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema hatoruhusu msaada wa kibinaadamu kuingia nchini mwake // Mkutano wa Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un kufanyika Hanoi // Ugiriki imeidhinisha hatua ambazo zitairuhusu Macedonia kujiunga na Jumuia ya Kujihami ya NATO