Rais Donald Trump amesema hali iliyopo katika mpaka wa Marekani na Mexico inazidi kuwa mbaya//Mgombea wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Martin Fayulu ametishia kutangaza matokeo yake ya uchaguzi wa urais //Kansela Angela Merkel amelaani vikali shambulizi dhidi ya mbunge wa chama kinachofuata siasa kali za mrengo wa kulia na kinachopinga wahamiaji, AfD