Viongozi wa Ulaya wamepongeza hatua ya kufikiwa kwa makubaliano ya kuunda serikali mpya ya muungano nchini Ujerumani // Korea Kaskazini imesema haina mpango wa kukutana na maafisa wa Marekani wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi // Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameahidi kutafuta suluhisho la haraka katika mazungumzo kuhusu hatma ya Rais Jacob Zuma.