Shirika la Kimataifa la Kuzuia Matumizi ya Silaha za Kemikali, OPCW lathibitisha kuwa sampuli zilizochukuliwa kwa kiongozi wa upinzani wa Urusi, Alexei Navalny zinaonesha kuwa alipewa sumu//Takriban nchi 40 zaitaka China kuheshimu haki za binaadamu za watu wa jamii ya Uighur//Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani amelitaka kundi la Taliban kuwa na ujasiri na kuweka chini silaha